Serikali yapendekeza kuongeza ada za NHIF

  • | Citizen TV
    124 views

    Serikali sasa inanuia kuongeza ada ya hazina ya bima ya matibabu kwa wafanyakazi baada ya Rais William Ruto kutoa mapendekezo mapya. Pendekezo ni kwa Wafanyakazi kulipa ada ya asimilia 2.7 ya mshahara huku wakenya wasio na ajira wakitarajiwa kulipa shilingi elfu moja kwa mwezi. Kulingana na rais Ruto, malipo hayo yatasaidia kulainisha malipo katika bima ya afya, na kufanikisha ajenda ya afya bora kwa wote. Hata hivyo, tayari hatua hiyo imeibua hisia kinzani kutoka kwa wakenya