Rais Ruto ametetea sheria mpya ya fedha aliyoitia saini leo

  • | Citizen TV
    539 views

    Rais William Ruto ametetea sheria mpya ya fedha akisema kwamba inalenga kuinua raia wa mapato madogo kiuchumi. Rais Ruto amekashifu mrengo wa upinzani wa Azimio kwa vitisho vyake vya kuongoza maandamano akiendelea kupigia debe kile anasema ni manufaa ya sheria hii mpya.