Wakuu wa shule walalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa wanafunzi

  • | Citizen TV
    323 views

    Walimu wakuu wa shule wameendelea kulalamikia kuchelewa kwa mgao wa shule huku kongamano lao la kila mwaka likianza hapo kesho mjini Mombasa. Walimu wakuu wanasema kuchelewa kwa mgao kila mara limelemaza masomo shuleni. Walimu wakuu pia wanataka kuongezwa kwa mgao wa pesa kwa kila mwanafunzi kutokana na kupanda kwa gharama ya Maisha.