Afisa mkuu wa NHIF Michael Kamau ahojiwa kuhusu malipo ya NHIF

  • | Citizen TV
    184 views

    Afisa mkuu wa bima ya kitaifa ya matibabu Michael Kamau alikuwa na wakati mgumu kueleza ni kwa nini malipo ya bili za hospitali hucheleweshwa. Kamati ya afya katika bunge la kitaifa inachunguza sakata ya malipo ya NHIF katika baadhi ya hospitali miongoni mwa masuala mengine ya uongozi katika hazina hiyo.