Vinara wa Azimio waandaa mkutano na wafuasi Kamukunji jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    3,282 views

    Muungano wa Azimio One Kenya unaandaa mkutano wa umma katika uwanja wa kamukunji hapa Nairobi. Mkutano huu unafanyika siku moja tu baada ya Rais William Ruto kuidhinisha mswada wa fedha wa mwaka 2023 kuwa sheria.