Wazazi watakiwa kuwaangalia watoto wakisakura mitandao ili kuwaepusha na athari za mtandao

  • | Citizen TV
    180 views

    Wazazi wanahimizwa wawe makini na shughuli za mitandaoni za wana wao hususan wakati huu wa likizo fupi. Ufuatiliaji kwa ukaribu wa shughuli zao mitandaoni utasaidia kuwaepushwa na uhalifu kama wa dawa za kulevya na picha chafu.