Maradhi ya macho yasababisha upofu kwa wakazi wengi katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    82 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu wamo katika hatari ya kukumbwa na maradhi ya macho yanayochangia upofu,wengi wao wakilaumiwa kutumia tiba za kiasili. Haya yamebainika katika Kambi ya matibabu ya bure ya macho iliyoandaliwa katika hospitali ndogo ya Kisima Samburu magharibi.