Mama aliyejifungua watoto wasichana wanne katika kaunti ya Busia aomba msaada

  • | Citizen TV
    293 views

    Mama mmoja aliyejifungua watoto wanne kwa pamoja katika hospitali ya rufaa ya Busia miezi mitano baada ya mumewe kufariki, amewaomba wahisani kujitokeza kumsaidia katika malezi ya wanawe wanne.