Ramani ya Afrika baharini katika eneo la Tiwi kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    991 views

    Fuo za bahari za Diani na tiwi katika kaunti ya kwale zimetambulika sana ulimwenguni kwa kuwa na mchanga mweupe na laini unaowavutia watalii kutoka pembe zote za dunia..lakini kuna kivutio kimoja kwenye fuo hizo ambacho kimeenziwa sana na wakaazi wa eneo la tiwi. Ni kidimbwi kilichojichora umbo la mfano wa ramani ya Afrika kwenye mandhari ya kupendeza ufuoni Bahari Hindi.