Kamati ya bunge kuchunguza sakata za NHIF

  • | Citizen TV
    480 views

    Huku wakenya wakilalamikia kukosa huduma za matibabu licha ya kulipia bima ya kitaifa ya matibabu -NHIF, kamati ya bunge kuhusu afya imetangaza uchunguzi wa kina kuhusu madai ya ufisadi katika hazina hiyo ili kubaini iwapo maafisa wa idara hiyo walishirikiana na hopsitali za kibinafsi kupora mali ya umma