Mfanyibiashara mmoja Sabaki Machakos alilia haki baada ya kushambuliwa na Veska Kangogo

  • | Citizen TV
    6,806 views

    Mfanyibiashara mmoja eneo la sabaki kaunti ya Machakos analilia haki akidai kudhulumiwa na mkurungenzi wa kampuni ya umeme, Kenya Power, Veska Kangogo katika duka lake.