Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa atia saini bajeti ya mwaka 2023/24

  • | Citizen TV
    597 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa ametia saini bajeti ya mwaka 2023/24 hivyo kuwa serikali ya kaunti kuidhinisha mipango yake ya mwaka ujao wa kifedha..