Waathiriwa wa ugaidi watafuta hifadhi shuleni Lamu

  • | Citizen TV
    258 views

    Zaidi ya wakaazi 200 katika kijiji cha Salama eneo lililoshambuliwa na magaidi wa Alshabab siku tatu zilizopita kaunti ya Lamu wanalazimika kulala katika shule ya msingi ya Juhudi eneo hilo kutokana na hofu ya kushambuliwa tena. Magaidi hao wamekuwa wakiwavamia usiku na kuwauwa wenzao hali iliyowachochea kusaka hifadhi katika shule hiyo.