Waziri wa leba Florence Bore asema serikali imejitolea kuhakikisha vijana wamepata ajira nchini

  • | Citizen TV
    324 views

    Waziri wa leba Florence Bore amesema kuwa serikali imejitolea kuhakikisha vijana wamepata ajira nchini. Bore ambaye alikuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo cha michezo hapa jijini Nairobi alisema serikali inakaribisha wawekezaji ambao wanaleta ajira kwa vijana. Kituo kilichozinduliwa ni cha kipekee na kinapania kusaidia wapenzi wa mchezo wa kuteleza kwa viatu vya magurudumu.