Maelfu ya waislamu wamiminika katika maeneo tofauti ya ibada kuadhimisha sherehe ya eid-ul-adha

  • | Citizen TV
    2,381 views

    Maelfu ya waislamu nchini wamemiminika katika maeneo tofauti ya ibada humu nchini ili kuadhimisha sherehe maalum ya eid-ul-adha. Viongozi wa kidini wameomba wakenya kudumisha amani na kuwasaidia wasiojiweza hasa baada ya kupanda kwa gharama ya maisha wanayosema imekuwa mzigo mkumbwa. Na kama anavyoarifu francis mtalaki wengi ya waislamu wamekosa kuchinja kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha na bei ya mifugo na vyakula kupanda maradufu.