Kilimo Biashara | Wakulima wa matunda watumia mbinu ya kupandikiza

  • | Citizen TV
    355 views

    Wakulima wa matunda humu nchini wameanza kukumbatia mbinu za kısasa kuongeza mazao na mapato yao kwa jumla. Mojawapo ya mbinu hizo ni ile ya kupandikiza mimea. Mbinu hii inahusisha kuunganishwa kwa miche miwili tofauti ya matunda katika tawi moja ili kupata zao bora.