Mahakama ya Makadara yaamuru kuzuiliwa kwa mshukiwa Abdihakim aliyenchini bila kibali

  • | Citizen TV
    449 views

    Mahakama ya Makadara imeamuru polisi kumzuilia mshukiwa anayedaiwa kuwa nchini bila kibali kwa siku kumi na nne kesi yake ikichunguzwa. Abdihakim said ambaye anadaiwa kutokuwa raia wa kenya anachunguzwa kwa tuhuma za kughushi stakabadhi na kupata kitambulisho cha kitaifa na cheti cha kuzaliwa.Hakimu mwandamizi hellen Okwanyi ambaye awali alitaka uchunguzi ukamilike kwa muda wa saa ishirini na nne amebatilisha uamuzi wake baada ya afisa anayechunguza kesi kuileleza mahakama ugumu wa kukamilisha uchunguzi huo.