Wakaazi wa Gusii wakumbwa na uhaba wa maji na chakula kutokana na mito na chemichemi za maji kukauka

  • | Citizen TV
    287 views

    Wenyeji wa eneo la Gusii wanazidi kukumbana na uhaba wa chakula na maji, kutokana na mito na chemichemi za maji kukauka katika eneo hilo linalojulikana kuwa na mvua nyingi. Lakini kama anavyoarifu duncan bundi, hali hii inachangiwa na upanzi wa mikalatusi na ukulima unaoendelezwa pembezoni mwa mito, kando na Athari za mabadiliko ya tabia nchi.