Utafiti wa tifa waonyesha wakenya wengi walalamikia gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    219 views

    Wakenya wengi wamelalamikia kupanda kwa bei ya bidhaa za msingi tangu agosti mwaka jana. Kwenye ripoti ya utafiti iliyotolewa leo na kampuni ya utafiti ya TIFA, bei ya unga wa mahindi pamoja na bei ya sukari imepanda kwa zaidi ya asilimia 50 jambo ambalo limewaacha wakenya wengi katika hali ngumu.