Viongozi wa Azimio washikilia maandamano kuendelea

  • | Citizen TV
    2,203 views

    Muungano wa Azimio umeshikilia kuwa mkutano wake wa saba saba utaendelea kamukunji kama ulivyopangwa siku ya Ijumaa, na kudokeza kwamba mikutano sawa itaandaliwa maeneo mbalimbali nchini. Kinara wa azimio raila odinga hata hivyo amewataka wale watakaoshiriki maandamano hayo kudumisha amani