Ibada ya wafu Londiani yafanywa kwa watu 52 walioaga kwenye ajali

  • | Citizen TV
    707 views

    Ibada ya wafu kwa watu 52 walioangamia kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Londiani kaunti ya Kericho imefanyika leo, huku serikali ikiahidi kukaza kamba kudhibiti ajali kama hizo. Naibu Rais Rigathi Gachagua aliwaongoza maafisa wa serikali kwenye ibada hiyo na kuahidi mikakati ya kuimarisha usalama barabarani.