Mwanasheria mkuu atoa ilani kukata rufaa uamuzi

  • | Citizen TV
    770 views

    Afisi ya mwanasheria mkuu imetoa ilani ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa majaji wa mahakama kuu hapo jana iliyobadilisha uteuzi wa manaibu waziri 50.