Nimrod Mbai wa Kitui East azozana kutokana na umeme

  • | Citizen TV
    2,454 views

    Mbunge wa Kitui East Nimrod Mbai amejipata matatani baada ya kumshambulia na kumzaba makofi afisa mmoja wa kampuni ya Kenya Power.