10 Sep 2025 1:55 pm | Citizen TV 10 views Afrika kusini ilikosa nafasi ya kufuzu moja kwa moja kwenye kombe la dunia 2026 baada ya kubanwa sare ya bao moja na nigeria nyumbani. Hata hivyo wangali wanaongoza kundi c kwa alama 17 huku nigeria ikiwa ya tatu kwa alama 11