Mashindano ya tamasha za muziki ya shule za msingi Kaunti ya Narok yakamilika

  • | Citizen TV
    92 views

    Hatimaye mashindano ya tamasha za muziki ya shule za msingi Kaunti ya Narok yamefikia mwisho huku serikali ikihimizwa kuongeza mgao wa hela za kuandaa mashindano kama hayo.