Gavana Natembeya aongoza hafla ya upanzi wa miti Kitale

  • | Citizen TV
    245 views

    Serikali ya kaunti ya Trans-Nzoia imeanzisha mpango wa kuboresha na kupamba mji wa kitale, hii ni mojawepo ya mikakati ya kuanzisha safari ya mji huo kupata hadhi ya kuwa mji mkuu