Zaidi ya watu milioni moja waendelea kupokea hela za inua jamii

  • | Citizen TV
    189 views

    Zaidi ya watu milioni moja wanaendelea kupokea hela za mpango wa serikali wa inua jamii baada ya shilingi bilioni 8 kutolewa kwa wakongwe, watoto yatima na walemavu. Serikali imetoa shilingi 8000 kwa awamu hii, huku ikiahidi kutoa salio hivi karibuni. Martin Munene alizungumza na baadhi ya wazee waliopokea hela hizi na hii hapa taarifa yake.