Zaidi ya familia tano zafurushwa kwa tuhuma za biashara ya pombe haramu katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    300 views

    Familia zaidi ya tano katika mtaa wa chang'aa viungani mwa mji wa Maralal Kaunti ya Samburu, zimelazimika kukesha kwenye kibaridi kikali Kwa siku ya pili baada ya kufurushwa katika makazi yao ya kukodi kwa tuhuma za kuendesha biashara ya pombe haramu. Jamaa hao wanamtuhumu chifu wa kata ya Maralal Kwa kuwafurusha Kwa ushirikiano na mumiliki wa nyumba hizo bila notisi.