Wanawake wataka kubuniwa kwa hazina ya wajane katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    164 views

    Serikali imetakiwa kubuni hazina itakayowasaidia wajane haswa katika maeneo ya mashinani. Katika eneo la Trans Nzoia wajane wamelalamikia kuhangaika na kuishi kwa hali ya uchochole.