Muungano wa maafisa wa klininiki nchini watoa ilani ya siku saba kushiriki mgomo

  • | Citizen TV
    522 views

    Muungano wa maafisa wa klininiki nchini umetoa ilani ya siku saba kushiriki mgomo iwapo maafisa wa kliniki walioachishwa kazi katika kaunti ya Nakuru hawaterejeshwa kazini. Muungano huo unasema kuwa shughuli za kawaida kwenye hospitali tofauti katika kaunti ya Nakuru zimelemazwa kutokana na upungufu wa wahudumu wa afya.