Wanawake wadai kutakiwa kuvua nguo ili wakaguliwe katika kampuni ya Brown Cheese kaunti ya Kiambu

  • | Citizen TV
    3,064 views

    Wasimamizi watatu wa kiwanda cha kukausha maziwa Cha brown cheese Limuru kaunti ya Kiambu wamekamatwa baada ya kuwaaibisha wafanyakazi Wanawake kwa kuwalamlisha Kuvua nguo zote ili wakaguliwe iwapo wanaona hedhi.