Seneta wa Busia Okiya Omtatah atoa sababu zake mbele ya mahakama

  • | Citizen TV
    2,878 views

    Seneta wa Busia aliyewasilisha kesi ya kupinga utekelezwaji wa sheria ya fedha ya mwaka 2023 sasa anataka Mkurugenzi mkuu wa EPRA, Daniel Kiptoo, kufungwa jela kwa muda wa miezi 6 baada ya kupuuza amri ya mahakama iliyositisha utekelezwaji wa sheria hiyo.