Tume ya SRC yahojiwa na kamati ya ugatuzi ya bunge

  • | Citizen TV
    315 views

    Mwenyekiti wa tume ya mishahara SRC Lynn Mengich alikuwa na wakati mgumu kuelezea kamati ya bunge ya ugatuzi kuhusu taratibu walizotumia kupendekeza mishahara ya wawakilishi wadi.