Wakaazi wa Ortum walalamikia shughuli za kampuni inayochimba mawe

  • | Citizen TV
    454 views

    Wakazi wa eneo la Ortum, kaunti ya West Pokot sasa wanataka hatua kuchukuliwa, wakilalamikia shughuli za kampuni moja ya kupasua mawe eneo hilo. Wakaazi hawa sasa wakilalamikia kuharibika kwa nyumba na hata kuugua mara kwa mara kutokana na athari za kampuni hiyo wanayodai kuwa kwa sasa inatumia vilipuzi kupasua mawe hayo, kinyume na njia inayokubalika kisheria.