Mamia ya watoto wajitokeza carnivore kwa matembezi ya kukabili kisukari

  • | Citizen TV
    322 views

    Mamia ya wakenya walijitokeza kwenye matembezi ya kusaidia watoto wanaugua ugonjwa wa kisukari. Matembezi hayo yalianzia katika uwanja wa carnirvore hapa jijini Nairobi Jumamosi asubuhi.