Rais William Ruto ahudhuria kongamano la biashara Brazzaville

  • | Citizen TV
    985 views

    Rais Willam Ruto ametoa wito kwa wawekezaji nchini kutumia fursa ya kidiplomasia na uhusiano mwema kati ya Kenya na Congo Brazzaville kuendeleza biashara zao. Rais Ruto ambaye alihudhuria kongamano la wafanyabiashara mjini Brazzaville alitangaza kwamba nchi hizi mbili zitaweka mikakati ya kupanua biashara na miradi ya maendeleo .