Mwanafunzi abuni mfano wa nyumba inayoweza kukunjwa

  • | Citizen TV
    1,368 views

    Mdahalo wa nyumba za bei nafuu umo midomoni mwa wakenya wengi, iwe kwa hiari au kwa sheria. Lakini vipi kuhusu mpango wa nyumba inayokunjwa na kuhamishwa?