Wahudumu wa bodaboda wateketeza basi la kampuni ya KBS

  • | Citizen TV
    1,030 views

    Maafisa wa polisi jijini Nairobi wameanzisha uchunguzi wa kisa cha kuteketezwa kwa basi la kampuni ya Kenya Bus Services (KBS) lililomgonga na kumuua mhudumu wa bodaboda mapema leo hapa jijini Nairobi.