Familia ya mvulana aliyeuwawa akiandamana yadai haki

  • | Citizen TV
    3,924 views

    Idadi ya watu waliofariki katika maandamano ya sabasaba hapo jana imeongezeka na kufikia watu watatu. Hii ni baada ya mtu mwingine mmoja kufariki alipokuwa akipokea matibabu hospitalini mjini Kisumu.