Walinzi wa misitu wakabiliwa na changamoto nyingi porini

  • | Citizen TV
    4,257 views

    Usalama wa misitu nchini uko mikononi mwa maafisa wa kulinda misitu wa shirika la huduma kwa misitu nchini (KFS). Kibarua cha maafisa hawa sio rahisi kwani wanakabiliwa na changamoto tele wanapotekeleza majukumu yao