Mzozo umeendelea kushuhudiwa katika kijiji cha Mbeti, mpkani mwa kaunti za Meru na Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    2,595 views

    Taharuki imetanda katika kijiji cha mbeti katika mpaka wa Meru na Tharaka Nithi baada ya wakazi kutoroka makwao wakihofia kuvamiwa. Wakaazi hawa wakilazimika kulala nje ya kituo cha polisi cha Mitunguu, wakilalamikia vitisho siku nne baada ya zahanati eneo hilo kuteketezwa. Kisa cha punde kikijiri licha ya waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki kuagiza wakuu wa usalama kaunti hizo mbili kutatua mzozo huo.