Gavana wa Trans Nzoia atoa ahadi ya kukamilisha miradi ya serikali ya awali

  • | West TV
    35 views
    Gavana wa kaunti ya trans nzoia George Natambeya ameahidi kukamilisha miradi yote iliyokwama ya uongozi uliopita kuhakikisha wakazi wanapata dhamana ya ushuru wanaotozwa kufanikisha miradi mbali mbali ya maendeleo