Wahudumu wa Afya watishia kusitisha huduma zao katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    53 views

    Kwa siku ya pili hii leo, wahudumu wa afya kaunti ya Busia wanatoa huduma walizozitaja kama hafifu kwa wagonjwa wakilalamikia ukosefu wa vifaa na dawa hospitalini.