Kundi la vijana lajihusisha na usafi wa majumba kaunti ya Kisii baada ya kukosa ajira

  • | Citizen TV
    101 views

    Huku Gharama ya maisha ikiendelea kuwaponza wengi nchini, kundi moja la vijana kutoka Kisii linaendelea kujivunia juhudi zao baada ya kukumbatia kazi ya kusafisha majumba ya mji huo.