Wanasiasa waendelea kugura vyama walivyounga mkono awali katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    1,176 views

    Wanasema siku moja ndani ya siasa ni kama zaidi ya Karne moja, msemo huu unazidi kupata maana zaidi kutokana na mabadiliko ya siasa kila kuchao eneo la Gusii. Hii ni kufuatia kugura vyama kwa wanasiasa kadhaa walioasi vyama vyao vya awali. Wa punde kutangaza msimamo hadharani ni aliyekuwa gavana wa Kisii James Ongwae, aliyeasi ODM na kujiunga na UDA