Kenya yandikisha zaidi ya mimba laki tatu za utotoni

  • | Citizen TV
    110 views

    Kenya iliandikisha zaidi ya mimba laki tatu za utotoni, miongoni mwa wasichana wa kati ya miaka 10 hadi 19 mwaka 2021. Licha ya wizara ya elimu kuagiza kuwa wasichana hao warejee shuleni baada ya kujifungua, watoto waliozaliwa na wasichana hao mara nyingi huwachwa kwenye malezi ya watu wengine nyumbani. Laura Otieno alizuru kaunti ya Homa Bay, mojawapo ya kaunti zilizonakili idadi ya juu ya mimba za utotoni ambapo waathiriwa hufunzwa mbinu bora za kuwalea watoto wao