Wakulima 3,800 katika Kaunti ya Kirinyaga wanufaika na ruzuku ya mbegu za uzazi za mifugo

  • | Citizen TV
    138 views

    Wakulima 3,800 katika Kaunti ya Kirinyaga wamenufaika na ruzuku ya mbegu za uzazi za mifugo katika mradi unaolenga kuboresha mifugo kwa kuongeza uzalishaji wa maziwa katika kaunti hiyo.