Wahudumu wa afya katika kaunti ya Machakos watoa ilani ya mgomo

  • | Citizen TV
    216 views

    Wahudumu wa afya kaunti ya Machakos wametoa ilani ya mgomo kwa serikali ya kaunti wakilalamikia miongoni mwa mambo mengine kupandishwa vyeo