Wakulima kutoka kaunti ya Siaya waanza kutumia aina mpya ya mahindi kuboresha mazao

  • | Citizen TV
    248 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Siaya wamevalia Njuga kilimo cha aina mpya ya mahindi inayotarajiwa kuongeza na kuboresha mazao. Mbegu hiyo ya mahindi inayojulikana kisayansi kama Pan 3M-05, hukua kwa haraka na inatumika kusambaza mahindi kwa shule za msingi na upili.