Wanafunzi 38 hospitalini Sotik baada ya kupata matatizo tumboni

  • | Citizen TV
    848 views

    Wanafunzi 38 kutoka shule ya upili ya kapletundo katika eneo bunge la Sotik, kaunti ya Bomet walifikishwa katika hospitali ya Kaplong baada ya kupata matatizo ya tumbo.